![]() |
| Mkuu wa TAKUKURU, mkoa wa Ruvuma Daudi Masiko Mwenyeji wa Mafunzo hayo yanayoendelea Herittage Cottage, Songea Ruvuma |
![]() |
| Bango la kupambana na Rushwa nje ya Ukumbi wa Mafunzo Herritage Cottage ambapo Mkurugenzi wa TAKUKURU Tanzania atatoa mada za kupinga na kudhibiti Rushwa kwa viongozi wa Dini. |
![]() |
| Meza ya sekretrieti wakati wa Uasajili wakiwa kazini |
![]() |
| Mwandishi wa habari Muhidin amri akimpongeza Afisa Mchunguzi wa PCCB, Ruvuma Bertha Madili nje ya Ukumbi wa Herittage Cottage Songea kabla ya Mafunzo ya Viongozi hao kuanza. |





No comments:
Post a Comment