Tuesday, May 21, 2013

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MZEE SYKES


NI MIONGONI MWA WAANZILISHI WA CHAMA CHA TANU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Rais Msatafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mzee Benjamini William Mkapa,Waziri mkuu mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim Katibu mkuu wa CCM Abdalrahman Kinana wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya mzee Ally Kleist Sykes mmoja wa wahasisi wa chama cha TANU katika makaburi ya kisutu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Ally Kleist Sykes mmoja wa wahasisi wa chama cha TANU katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
You might also like:

No comments:

Post a Comment