![]() |
| Shehena ya Mahindi ikishushwakatika Soko la SODECO lililopo Manispaa ya Songea, toka kwa wakulima wa Kijiji cha Mgazini Kata ya Kilagano, Songea Vijijini leo (Picha na Juma Nyumayo) |
![]() |
| Kazi inaendelea, baridi na jua kwa mbali, Soya ikimwagwa kuangalia ubora wake kabla ya kupimwa upya. ( samahani kwa ubora wa picha iliyoingiliwa na mwanga wa jua la asubuhi.) |
![]() |
| Mahindi yakimwagwa tayari kwa kupimwa na kuwekwa katika viroba kwa kipimo maalum kusafirishwa nje ya mkoa wa Ruvuma |
![]() |
| Pilikapilika katika Soko la Mazao Mchanganyiko, SODECO Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma leo. |
![]() |
| Kazi ya Ukaguzi wa mahindi kabla ya kupima upya na kufunga katika viroba ikiendelea na wafanyabiashara wa SODECO leo |






No comments:
Post a Comment