![]() |
| Mlango wa kuingilia Mabanda ya maonyesho ya Unywaji wa maziwa, Viwanja vya Manispaa Songea |
![]() |
| Wananchi wakiwa wamezunguka na kununua bidhaa za maziwa toka kampuni ya ASAS ya Iringa ambao bidhaa zao zimekuwa kivutio mjini Songea. |
![]() |
| Mwonyeshaji wa banda la ASAS Onesmo Kibra akiwaelekeza watu wanaotaka kununua maziwa toka kampuni hiyo |
![]() |
| Baadhi ya Bidhaa za maziwa zinazotengenezwa na kampuni ya ASAS na kuoneshwa katika Wiki ya Maziwa hapa Songea |







No comments:
Post a Comment