KIKAO CHA WABUNGE WA CCM DODOMA
Mkurugenzi wa Idara ya mambo ya Nje ya CCM, Dr.Asha Rose Migiro akikaribishwa na Katibu wa Wabunge wa CCM, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCm Juni 29, 2013. Katikati ni Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Katibu Mkuu, wa CCM, Abdlrahman Kinana akiongozwa na Katibu wa wabunge wa CCM, Jenista Mhagama kuingia kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma kuhudhuria kikao cha wabunge wa CCM juni 29, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje ya CCM, Dr Asha Rose Migiro akisalimaina na Mbumge wa Kondoa Kusini wakati alipowasili kwenye ukumbiu wa Msekwa mjini Dodoma Juni 29, kuhushuria kikao cha wabunge wa CCM. Katikati ni Mbunge wa Mpwapwa ns Nsibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Gregory heu;(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment