Tuesday, June 11, 2013

SHIMBO NA CHECHE WAULA,JK AWAAPISHA LEO KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA CHINA NA DRC

sa11 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma. Mabalozi hao ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kulia) , anayekuwa Balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Luteni Jenerali (Mstaafu ) Abdulrahman Shimbo (kulia) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China s4 sa1 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha  Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.
Picha kwa hisani ya IKULU

No comments:

Post a Comment