| Land-Rovers ndiyo magari madogo yanayoaminikasana huko Mbinga na Wilaya Mpya ya Nyasa kutokana na milima mingi na njia mbaya nyakati hasa za masika. |
| Mtumbwi ziwani Nyasa, ni chombo cha usafiri na kuvulia samaki. |

No comments:
Post a Comment