Mhe.Mbowe na Mhe. Lema wakishauriana jambo..
waligundua kuwako kwa kitu ndani ya tanki la mafuta na
hivyo kuamua kulikata. Taarifa hizo zinadai kwamba
kulikuwa na mabomu yametegwa chini ya gari na hivyo tank
hilo lilishamabuliwa kwa risasi labda utokee mlipuko! Pia
gari la matangazo lina majeraha mawili katika mlango wa
kushoto yaliyotokana na kitu chenye ncha ambacho
kinaweza kuwa risasi au vipande vya vyuma vya bomu.
Gari ambalo linasadikiwa kutegwa bomu katika tanki la Mafuta. |
marehemu (Ramadhani) eneo la Mianzini kuwapa pole kwa
kuondokewa na mpendwa wao.
wa majeruhi walilazwa katika hospitali ya Seliani Jijini,
Arusha.
ya mlipuko katika hospitali yaSeliani Jijini, Arusha.
akiwa majeruhi kitandani,katika hospitali ya Seliani Jijini,
Arusha.Habari hii kwa hisani ya Wazalendo 25 Blog
No comments:
Post a Comment