Thursday, June 6, 2013

ANGALIA UMATI WA WATU WALIOMSINDIKIZA MANGWEA KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO KIHONDA MOROGORO

 TASWIRA YA MAZISHI KATIKA MAKABURI YA MTAKATIFU MONICA KIHONDA MOROGORO ILIKUWA HIVI.
JENEZA LENYE MWILI WA MWANAMUZI ALBERT KENETH MANGWEA LIKIWA LIBEBWA JUU JUU NA WAKAZI WA MJI WA MOROGORO MARA BAADA YA KUTEREMSHWA KATIKA GARI, HATA HIVYO HALI ILIKUWA MBAYA KWA WAANDISHI HASA PALE WALIPOTAKA KUCHUKUA PICHA NA KUSHINDWA KUTOKANA UWINGI WA UMATI WA WATU KUANZIA ENEO LA JAMHURI HADI MAKABURI NA HII INATHIHIRISHA KUWA NGWEA ALIKUWA NA THAMANI KUBWA MBELE YA WATANZANIA
ULINZI ULIKUWA MKALI LAKINI KUTOKANA NA UMATI MKUBWAA WA WATU KAZI YA KUWALINDA WATU HAO ILIKUWA NGUMU KAMA PICHANI INAYVYOONEKANA.
HII NI SEHEMU YA KWANZA YA MATUKIO YA MAZISHI YA MANGWEA KWANI SEHEMU YA PILI UTAWEZA KUONA NAMNA WATU WALIVYOJITOKEZA MAENEO MBALIMBALI YA BARABARA KUU ZA MANISPAA YA MOROGORO WAKIWA WAMEKAA KANDO YA BARABARA WAKITAKA KUSHHUHUDIA SAAFARI YA MWISHO YA KIPENZI CHETU ALBERT KENETH MANGWEA
Via: jumamtanda blog

No comments:

Post a Comment