Friday, April 12, 2013

MVUA BADO ZAENDELEA KUNYESHA SONGEA

Soko la SODEKO  lilivyokuwa leo asubuhi kutokana na mvua nyingi zilizonyesha. Bidhaa zilizofunikwa ni pamoja na mahindi na maharage. Sodeco ni Soko kubwa la uuzaji wa nafaka mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment