Mwanamke anayedaiwa kufariki miaka mitano
iliyopita (katikati)
MJI wa Geita na maeneo ya jirani juzi ulikumbwa na
taharuki ya aina yake, pale mwanamke ambaye anadaiwa kwamba alifariki miaka
mitano iliyopita alipoonekana akiwa hai katika familia yake.
Chanzo Mwananchi
No comments:
Post a Comment