
- Power Tiller, ikishamaliza kulima, unaitwisha mahindi katika tela hapo nyuma, likishafika nyumbani unafunga kinu cha kupukuchua, halafu kinu cha kusaga litume kazi upendavyo kuhakikisha unafanikisha Mpango wa kilimo Kwanza.
- Hapa Power Tiller lipomzigoni kama lilivyopigwa picha na Mpigapicha wetu linapukuchua mahindi eneo la Madaba Songea vijijini. (Picha na Juma Nyumayo)
No comments:
Post a Comment