
Wednesday, September 29, 2010
Mahafali kidato cha nne Sekondari ya Msamala

Monday, September 20, 2010
Unapajua hapo?

Wakati wa kampeni raha kama nini, je baada ya uchaguzi watapita humo. Hapa ni Mto Ruhuhu Mkoani Ruvuma na JK akishuka katika ardhi ya Mbeya Vijijini (Picha zote kwa hisani ya http://www.kalulunga.blogspot.com/)
Mambo ya Gemsat Kurasini!
Heheheee! Nimekutana na waandishi kibao toka Zanzibar tulikuwa Ali Othman na Haroub Hussein kule Tanga tulikuwa na Anna Makange pamoja na wengine wengine.
Saturday, September 18, 2010
Dorothy Mbilinyi wa TGNP ndani ya RUVUMA

Mpiga Picha wa Gazeti la Mtanzania Bw Muhidin Sufiana (Kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Mkoa wa Ruvuma Juma Nyumayo

Prof. Ibrahim Lipumba
wa CUF Mgombea Urais Uchaguzi Mkuu Oktoba 31, 2010 akitoa sera kwa wananchi katika ngome ya CHADEMA viwanja vya stendi ya malori Majengo Manispaa ya Songea.

Picha nyingine baadhi ya watoto na watu wazima waliofika katika viwanja hivyo kusikiliza sera za CUF. (Picha zote na Muhidin Amri- Ndolanga)
Friday, September 17, 2010
JIONEE MWENYEWE MAMBO YALIVYO
Subscribe to:
Posts (Atom)