Pages

Wednesday, June 19, 2013

MWANAMKE AMEZWA NA CHATU CHUMBANI KWAKE

 Tumelazimika kuweka picha hii muone nyoka huyu alivyombaya.
 
Linda Laina Nyatoro, mwanamke kutoka nchini South Africa alifikwa na mauti baada ya chatu kuingia ndani ya nyumba anayoishi na kumshambulia kisha kummeza kabisa.
 Na hizo ndizo picha za chatu alivyokutwa tayari kesha mmeza mwanamke huyo Linda Laina Nyatoro.
Via/jumamtanda blog

No comments:

Post a Comment