Pages

Wednesday, June 19, 2013

MWANDISHI WA HABARI WA CHANNELTEN TV AFARIKI

Tumepata habari kupitia facebook na Blogu mbalimbali kuwa Mwandishi mwakilishi wa Channelten Mkoa wa Shinyanga Bw. Charles Hilila amefariki usiku akiwa Hospitalini alikokuwa akipatiwa matibabu:


 Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Channelten Mkoa wa Shinyanga, Bw.Charles Hilila (Pichani Enzi za uhai wake)
 
Toka FB page ya Jukwaa la waandishi wa habari:

   
MWANDISHI WA HABARI WA CHANEL TEN MKOA WA SHINYAGA,CHARLES HILILA AMEFARIKI ASUBUHI YA LEO KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA SHINYANGA ALIPOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU.MUMGU AMETOA NA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE.AMINA

Like · · Unfollow Post · about an hour ago
TETESI...MWANDISHI CHANNEL TEN SHINYANGA CHARLES HILILA AMEFARIKI
TAARIFA zinasema kuwa mwandishi wa habari wa Kituo cha Channelten Charles Hilila (Kulia) amefariki dunia  saa saba usiku katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya homa ya Malaria.



No comments:

Post a Comment