Pages

Saturday, June 1, 2013

KILELE CHA MAADHIMISHO YA 17 WIKI YA KUNYWA MAZIWA NCHINI, YAKOSA MSISIMKO SONGEA


Mgeni rasmi wa kilele maadhimisho ya 17 ya wiki ya kuhamasisha kunywa maziwa nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Emmanuel Nchimbi, (katikati) na Mkuu wa wilaya ya Songea Bw. Joseph Mkirikiti (kushoto) na Mwenyeketi wa baraza la wadau wa wasindikaji wa maziwa Dkt. Ruth Lyoba (kulia) wakiangalia burudani ya ngonjera toka wanafunzi wa Shule Msingi Mbulani (hawapo pichani) katika viwanja vya Manispaa ya Songea leo(1.6.2013)


Sehemu ya watu waliohudhuria kilele cha maadhimisho hayo leo


Baadhi ya maafisa wa na walimu wa msingi wakiangalia mabo yanavyokwenda uwanjani hapo wakati wa kilele cha maadhimisho wiki ya maziwa


Kikundi cha ngoma ya Lizombi kikiwa kimepumzika baada ya kutoa burudani


No comments:

Post a Comment