Pages

Thursday, April 18, 2013

MTANGAZAJI KIJANA ANAYETAMBA JOGOO FM

Mwandishi wa habari na Mtangazaji kijana wa Jogoo FM, yenye makao yake Makuu Manispaa ya Songea, akipitia Blogu hii leo. Hapo anamuangalia Mzee Thomas komba Lipuka kwenye Ukurasa wa picha za Msiba wa  Dada yake Gerson Msigwa. Tamimu ni Mtayarishaji wa vipindi vya Michezo na vipindi vya kijamiii. (Picha na Juma Nyumayo)

1 comment:

  1. Dhamiri ya mwanadamu ndio dira pekee ya maisha yake na kama dira hii imetengezwa vizuri (well formed), basi humuongoza katika maisha salama licha ya mikwaruzo ya hapa na pale.

    Nina uhuru wa kutokuwa pamoja nao! Sio lazima niwe na mtazamo kama wao! Lakini pia nina uhuru wa kutoa mawazo yangu, yawe yanaendana nao au la. Lakini nianze kuweka msimamo wangu wazi kuwa waandishi wa habari hawatendi hakiKATIKA jamii, heshimu wakongwe kwenye tasnia ya habari kama NYUMAYO ili uweze kuishi kama jamii pana inavyohitaji, acha nichukue wasaa huu kutuma salamu za Rambirambi kwa Dada yangu Catherini Nyoni n shemeji yangu Gerson Msigwa kwa msiba uliowakuta, nawapa matumaini kwa msemo huu, Kuondokewa na mdugu, jamaa, rafiki au mtu wa karibu unapata huzuni kubwa sana lakini jambo la msingi kuliko yote ni kumuombea kwa Mwenyezi mungu afike na apumzike salama kwani kuhuzunika sana kunaweza kukasababisha kiza kinene huko mbele

    ReplyDelete