Pages

Thursday, April 18, 2013

HII NDIYO MANISPAA YA SONGEA UCHAFU KAMA KAWA


MAAJABU YA MAAMUZI YA MIPANGO MIJI,  GHUBA LA TAKATAKA KUJENGWA PEMBEZONI MWA KIBANDA CHA BIASHARA KANDO YA VIWANJA VYA ZIMANIMOTO NA UWANJA WA MICHEZO MAJIMAJI, MANISPAA YA SONGEA MKOANI RUVUMA LEO


MTAA HUO UNAVYOONEKANA UPANDE WA MAGHARIBI


WANAFUNZI WAKIKATISHA ENEO HILO LA UWANJA WA MICHEZO MAJIMAJI, PALIPOJENGWA GROSARY INAYOITWA MAISHA PLUS HAPO KWENYE MITI NA VIBANDA VYA NYASI NA WAENDESHA PIKIPIKI MAARUFU  'YEBOYEBO' ZIKIKATISHA MITAA HIYO.
 (Picha zote na Maelezo na Juma Nyumayo)


No comments:

Post a Comment