Pages

Thursday, April 18, 2013

MAZIKO YA BILIONEA BABU SAMBEKE, ARUSHA HADI MOSHI






HAYO NI BAADHI TU YA MAGARI YA KIFAHARI YALIYOLETWA NA WAFANYABIASHARA HUKO NYUMBANI KWAKE ENEO LA NJIRO ARUSHA KWA KUAGA MWILI WA MAREHEMU KUUPELEKA KWAO KARANGA MOSHI






Mtoto wa 'Babu Sambeke' akifungua sanduku lenye mwili wa Baba yake Babu Sambeke aliyefariki kwa ajali ya ndege yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe. Mwili wake tofauti na misiba mingine ulivikwa mavazi yake ya Urubani. Msiba huo ulitawaliwa na mambo ya kifahari, ikiwa ni pamoja na magari ya thamani ya juu, vinywaji na mipangilio iliyoendeshwa na wafanyabiashara mbalimbali, pia wafanyabiashara wa madini . Umati mkubwa ulijitokeza kumuaga.  Vinywaji na chakula ilikuwa ni kujihudumia mwenyewe (Self service) unachotaka ikiwa ni pamoja na vinywaji vya aina mbalimbali pamoja na Bavaria za kumwaga.
Marehemu ameacha watoto watatu Sia, Jamal na Getruda.
 

2 comments: