Pages

Thursday, April 18, 2013

ANGALIA MAZISHI YA BI. KIDUDE

Umati wa watu waliohudhuria mazishi ya Msanii Mkongwe wa muziki wa taarabu, Bibi Kidude, nyumbani kwake Zanzibar leo.




Jeneza la Bi Kidude likipelekwa Msikitini kwa swala kabla ya mazishi yake leo.

 

1 comment:

  1. Pumzika kwa amani bibi yetu. Tutakuenzi kwa kile ulichokiacha.

    ReplyDelete