Pages

Wednesday, April 17, 2013

BREAKING NEWS, BI KIDUDE AFARIKI


DAKIKA 45 zilizopita nilipokea taarifa ya kufa kwa mmoja wa wakongwe wa sanaa nchini hapa Fatuma binti Baraka  al maarufu kama Bi.Kidude. Kutokana na kila mara watu kumzushia kifo, nilista kuposti na kuonge amdau wa Zanzibar ambaye naye alichukua jukumu mla kwenda kumuona mjukuu wa Bi Kidude aliyekuwa anaishi naye Baraka Said ambaye alithibitisha kuaga dunia kwa Bi kidude.Baraka alisema kwa sasa watu wa familia wanajikusanya.
 
SOURCE: lukwangule.blogspot.com

 

No comments:

Post a Comment