Pages

Wednesday, January 16, 2013

POKEA ZAWADI YA KALENDA

Naibu Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma, Bw. Shaaban omar {Kulia) akimkabidhi Kalenda kubwa ya Ukutani ya Mwaka 2013 Mwandishi wa Habari, Bw. Gideon Mwakanosya (Kushoto) wakati Mhasibu wa Uhamiaji  Mkoa huo   Assistant Inspector Baraka Msasa  akiangalia. 
Idara ya Uhamiaji  Mkoa wa Ruvuma inaendelea kufanya vyema kutekeleza majukumu yake kwa kushirikiana na raia pamoja na wanahabari mkoani hapa. Mpaka sasa inaendelea kutoa elimu kwa wananchi ambao waliweza kutoa taarifa kwa watu wa usalama na Idara hiyo kwa nyakati tofauti na kuwatia mbaroni wahamiaji haramu toka nchi za Somalia, Ethiopia na Elitrea wakitoroka kuelekea South Africa.

No comments:

Post a Comment