Pages

Wednesday, January 16, 2013

Mti uliopandwa na Mhe. Rashid Mfaume Kawawa unavyoipamba Ofisi ya CCM Mkoa

Picha za hapo juu, Ni za Mti na Jengo la CCM Mkoa wa Ruvuma lililopo Barabara ya Sokoine Manispaa ya Songea.

 Mti wenyewe "TECTONA GRANDS"  Mzuri sana kwa kivuli, Unapendezesha jengo hilo  la CCM mkoa na watu hupumzika na kuegesha magari yao hapo. Ulipandwa siku ya Tarehe 28/6/1974 na Mhe. Rashid Mfaume Kawawa aliyekuwa Makamu wa Pili wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania (Hivi sasa ni Marehemu) Tuzienzi juhudi za kupanda miti kutunza mazingira, usafi wa halki ya hewa pia Kumbukumbu za matukio na miaka. Wewe umepanda miti mingapi ya Kivuli, Matunda au Maua mwaka huu?

No comments:

Post a Comment