Pages

Tuesday, January 15, 2013

KAZI NI KAZI


Kazi ni Kazi, hapa Kamera yetu imechukua picha ya Baba Ubaya akiwa kazini katika Ofisi yake Mtaa mmojawapo maarufu hapa Songea Manispaa nje tu ya Baa Maarufu ijulikanayo kwa Jina la Serengeti.
Baba Ubaya hana mchezo kwa Kung'arisha viatu vya aina zote, kushona na kurekebisha Soli yeye na Bwana Kwizombe wanategemewa sana Katika eneo hilo.

2 comments:

  1. kweli kazi ni kazi ili mradi anapata cha kuweka mdomoni..nilimwona huyo baba Ubaya juzi tu...

    ReplyDelete