Pages

Saturday, June 1, 2013

WATAALAMU WA KUCHONGA CHUMA SIDO WASAIDIA WENGI


Mafundi wa Kuchonga chuma waliopo Eneo la Viwanda Vidogovidogo (SIDO) Songea wakiendelea na kazi ya kutoa Bolt iliyokatikia ndani ya cylinder head ya gari. Aliyesimama ni Fundi Mkuu wa hapo Bw Philoteus Ngonyani maarufu kwa jina la Makwata.


No comments:

Post a Comment