RAIS KIKWETE AENDA KUMPA POLE NGULI WA TAARABU NCHINI, HADIJA KOPA HUKO BAGAMOYO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Koppa, nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment