Pages

Sunday, June 9, 2013

PICHA ZA WASHINDI WA KILIMANJARO MUSIC AWARDS - KIKWETUKWETU 2013 NA MITINDO YAO YA NYWELE NA KUNYOA


Kala Jeremiah akipokea tuzo  TATU.   Ommy Dimpoz  Tuzo TATU      Mashujaa Band wakifurahia Tuzo ya Band Bora. GadnereGardner G Habash akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike kwa niaba ya Lady Jaydee Chalz Baba akiwa na Tuzo zake! Ben PoulBen Pol akiwa kwenye stage na tuzo yake ya Mtunzi Bora wa Mashahiri Bongo Fleva. MC wa Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 Bw. Zembwel ambaye aliomba kibarua kama hicho a. Picha zote na Kilimajaro Premium Lager

No comments:

Post a Comment