Pages

Monday, June 17, 2013

KUZAMA KWA JUA POMONDA RAHA BEACH LIULI - NYASA RUVUMA TANZANIA


Kuzama kwa Jua  (Sun Set) Pomonda Raha Beach, Liuli Wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma, Tanzania. (Picha na Juma Nyumayo)

Hali ya utulivu katika Pomonda Raha Beach ufukwe wa  Ziwa Nyasa Liuli Mkoani Ruvuma.


Wageni wakibadilishana mawazo katika Ufukwe uliotengenezwa na Bw. Joseph Ndomondo unaojulikana kwa jina la Pomonda Raha Beach, Liuli wilaya ya Ziwa Nyasa


Wadau wakiendelea kubadilishana mawazo jua likiendelea kuzama na giza likinyemelea nchi kavu kutokea ziwani.


Hawa ni Bw. Adam Nindi, Moses Konala, Charles Aidan, Juma Nyumayo, na Bw Francis Mlimira wakipata vinywaji na kubadilishana mawazo eneo la Pomonda Raha Beach inayomilikiwa na kijana wa kijijini hapo, Bw. Joseph Ndomondo.


No comments:

Post a Comment