Pages

Monday, June 17, 2013

FREEMAN MBOWE AWATEMBELEA MAJERUHI BOMU LA SOWETO-ARUSHA

 
DSC09327
Mhe.Mbowe na Mhe. Lema wakishauriana jambo..
 
 
DSC09343Eneo la maafa. Inaelezwa kuwa wataalamu wa jeshi
 
 waligundua kuwako kwa kitu ndani ya tanki la mafuta na
 
 hivyo kuamua kulikata. Taarifa hizo zinadai kwamba
 
 kulikuwa na mabomu yametegwa chini ya gari na hivyo tank
 
 hilo lilishamabuliwa kwa risasi labda utokee mlipuko! Pia
 
 gari la matangazo lina majeraha mawili katika mlango wa
 
 kushoto yaliyotokana na kitu chenye ncha ambacho
 
kinaweza kuwa risasi au vipande vya vyuma vya bomu.
 
 
 
 

DSC07458
Gari ambalo linasadikiwa kutegwa bomu katika tanki la Mafuta.

DSC09360Mh. Mbowe akiwa nyumbani kwa wazazi wa mmoja wa
 
 marehemu (Ramadhani) eneo la Mianzini kuwapa pole kwa
 
 kuondokewa na mpendwa wao.
 
 
DSC09382James Ole Millya na Mbunge Lema wakimjulia hali mmoja
 
 wa majeruhi walilazwa katika hospitali ya Seliani Jijini,
 
Arusha.
 
 
 
DSC09373Mtoto Sharifa nae amelazwa hospitalini hapo kwa majeraha
 
 ya mlipuko katika hospitali yaSeliani Jijini, Arusha.
 
 
 
DSC09377Dereva wa mgombea wa Chadema Kata ya Themi, Bw beni
 
 akiwa majeruhi kitandani,katika hospitali ya Seliani Jijini,
 
Arusha.Habari hii kwa hisani ya Wazalendo 25 Blog

No comments:

Post a Comment