Pages

Tuesday, May 7, 2013

SOMA SMS KWA JAYDEE


MSG ZINAZOGUSA KUELEKEA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE


Lady Jaydee

No.1
Mpwendwa Ladyjaydee,
Pole sana kwa yaliyokusibu, Nimesoma kwa masikitiko makubwa habari ya watu wanaokuonea wivu na kukufuatilia, Ni jambo la ajabu na kushangaza, Kipaji ulichonacho ni Mungu amekupa wala hawawezi kukipata, Tunamuomba Mungu sana akulinde na njia hizo mbaya zinazopangwa juu yako. USIOGOPE MUNGU YUPO PAMOJA NAWE NA ATAENDELEA KUKULINDA MPAKA MWISHO WA MAISHA YAKO.
 
Stella
 
No.2
hello sis,shikamoo.
hopeu good mpz,pole na matatizo ya hapa na pale ya walimwengu,la kumshukuru mungu ni mzima na unapumua kwa afya.I just miss you so much sis i real want to see u ila matatizo yapo ya ina nyingi kwa kila mwanadamu.NAMI NILIKUWA NA YANGU.ila mungu mkubwa yanapunguaa pungua na anaendelea kuleta riziki zake kidogo kidogo.

Sis u made cry for msg u wrote ya wosia wako sis the pain i felt i cant express it i just wanna tell ya tupo pamoja till death do us apart uwanze wewe au mimi,we will meet after life again..i love u as a sister, friend, aunt,as the BIG artist ,women who inspire a fellow women.

i will see u soon,i will do my best to be there on 13 years of lady jay dee..
keep smiling God is great and love u to the MAX.

PAMOJA. ALWAYS NO MATTER WHAT!

kisses

No.3
Habari Dada Jide. Natumai u mzima wa afya.
Me ni mmoja kati mashabiki wako wakubwa tu, but juz kati nimesikitishwa sana na waraka ambao inasemekana wewe ndo umeuandika kuhusu clouds...hasa pale uliposema ata ukifa Ruge na Kusaga wasikuzike. Kwakweli dada jide Ata Mungu hapendezwi na kauli hiyo na sidhani kama Mungu anampokea m2 ambae anakufa na kinyongo na wa2.
Hakuna asiyejua kama Clouds wana matatizo so it's better ungewaponda 2 na si kutoa maneno kama yale..
Nakupenda na Ninaupenda muziki wako pia that's y nimeamua kukwambia kilichonikera. One luv dear Sister

 

No comments:

Post a Comment