Pages

Monday, May 20, 2013

MBUNGE MSIGWA KUTINGA MAHAKAMANI,WANANCHI WACHACHE WAJITOKEZA KUSHUHUDIA


 Baadhi ya  wafuasi   wachache  wakielekea  mahakamani  kusubiri kesi ya  mbunge  wa jimbo  hilo Mchungaji Msigwa na wenzake
 Mmoja kati ya  watumishi  wa Mahakama kuu kanda ya  Iringa Bw  Bawadhil akiwa katika viwanja  vya  mahakama hiyo leo majira  ya saa 5.05 asubuhi  hii
 Watumishi  wa mahakama kuu kanda  ya Iringa  wakijuliana hali
 Hawa  ndio  wananchi  waliofika mahakamani hivi  sasa  kusubiri  kusikiliza  kesi ya mbunge na machinga
 Hili  ndilo gari la mbunge Msigwa ambalo jana lilifika eneo la Mashine tatu kabla ya mambo kuharibika
Ulinzi mkali  wa  polisi  waimarishwa  kituo cha polisi
 
Dakika  chache  kuanzia  sasa  mbunge na  wenzake  watafikishwa mahakamani .
Source: via Francisgodwin Blog

No comments:

Post a Comment