Pages

Monday, April 8, 2013

Wanaharakati wa mambo ya kijamii wanapokutana

Kamishna wa TUME ya Mabadiliko ya Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa NACONGO Bw. Humphrey Polepole (Kulia) akifurahia jambo analoelezwa na Bw Juma Nyumayo kutoka Ruvuma walipokutana Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Kijitonyama, Dar es Salaam hivi karibuni.
Bw. Juma Nyumayo naye amepita katika michakato ya Kuteuliwa Kuwa Mjumbe  mmojawapo wa  Mabaraza ya Katiba katika ngazi ya Halmashauri ya Manispaa, baada ya kuchaguliwa katika ngazi ya Mtaa wa Namanyigu na kata ya Mshangano Manispaa ya Songea.

Kila la kheri,  Mungu Ibariki Afrika, Mungu IbarikiTanzania. Tanzania Kwanza

No comments:

Post a Comment