Pages

Friday, February 1, 2013

Andrew wa Misa Atembelea Ruvuma

Bw. Andrew wa Misa-Tan atembelea  vyombo vya habari mkoani Ruvuam pamoja na kuzungumza na waandishi wa habari. katika ziara hiyo anajadiliana na waandishi changamoto mbalimbali za kuboresha weledi wa wanahabari katika enzi za digitali.

No comments:

Post a Comment