Pages

Tuesday, January 15, 2013

UWAMAVIRU SACCOS wafanya mkutano wa mwaka

Umoja wa Wanunuzi Mazao Vijijini Mkoa wa Ruvuma SACCOS (UWAMAVIRU) wafanya mkutano wao wa Mwaka katika Ukumbi wa SACCOS ya Walimu Songea. Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye amekasimu madaraka hayo kwa Mkuu wa wilaya ya Songea, Bw Joseph Joseph Mkirikiti.  (Pichani toka Kushoto ni Makamu mMwenyekiti wa SACCOS hiyo Bw. Thadey  Mwakaguo, Katikati Mwenyekiti Bw. Ernest Malyatabu na  Meneja wao Bw. Dokuta Nditti) Tutawaletea yatakayojiri.

No comments:

Post a Comment