Pages

Wednesday, February 3, 2016

Narudi tena katika Blogu,

Ama kweli, teknolojia  imekuwa kwa kasi kubwa.
Facebook, tweeter, na whatsApp viliniondoa kwa muda mtefu hapa.
hata hivyo nimeamua kurudi tena na kuendelea kupashana habari kama hobby.
Awali ya yote habari za mwaka mpya 2016. Kwa watanzania tunamshukuru mungu, maana serikali ya awamu ya tano ya Rais,  Dkt. John Pombea Magufuli, inaendelea kwa kasi kutumbua kila aina ya majipu, hata kama ni jipu chungu litatumbuliwa tu maana falsafa hapa ni ile ya HAPA KAZI TU! Elimu bure watoto wengi wameandikishwa madarasa ya awali na la kwanza. Sekondari ndiyo usiseme , Kumbe kweli umasikini na michango lukuki ya kuchangia elimu ilikuwa si kero tu bali kikwazo cha kusomesha watoto kwa wazazi na walezi waliowengi. Asante Dkt. Magufuli.
Mpaka siku nyingine tupo pamoja.

5 comments:

  1. Mbanga umwuyili...maans tinogeleye sana kumanya ga kunyumba...ena tivili pamonga!!

    ReplyDelete
  2. Mbanga umwuyili...maans tinogeleye sana kumanya ga kunyumba...ena tivili pamonga!!

    ReplyDelete
  3. Ndugu Juma Thomas Nyumayo,

    Umefanya uamuzi murua kurejea katika kublogu. Nami niko huku ughaibuni, na naunga mkono asemayo Dada Yasinta kwamba tuna hamu ya kujua ya huko nyumbani. Ubarikiwe sana.

    ReplyDelete
  4. Udah punya Asuransi belum? Pasti belum, iya kan. Yuk baca artikel berikut Asuransi Kendaraan MSIG, Berkendara Tanpa Cemas kali aja setelah baca artikel berikut langsung kepincut beli asuransi. Asuransi itu penting loh.

    ReplyDelete