Pages

Tuesday, January 21, 2014

HABARI KATIKA MITANDAO YA KIJAMII



Mkurugenzi wa Demashonews Hamza Juma (Kushoto) akisikiliza maelezo toka kwa Mkurugenzi wa Jamii ya WanaRuvuma, Juma Nyumayo kuhusu mikakati ya kuwahabarisha wananchi kwa kutumia mitandao ya kijamii hivi karibuni.
 

2 comments:

  1. Kaka Nyumayo,
    Kupashana habari chanya ni jambo muhimu sana katika kuchochea maendeleo yetu hasa wana songea. Nakupongeza kwanza kwa kuiona fursa ya mitandao na pia kuihusianisha na matumizi bora ya kupashana habari. Tukiacha huru bila kuelekeza matumizi ya mitandao hii, tunaweza kuzalisha kizazi hatari kwa ustawi wa jamii. Mwanadamu anao uwezo wa kufanya makubwa kama anajishughulisha, vinginevyo usemi "An idle mind is the devil's workshop" unatawala. Nina imani sasa wengi tunahamasika baada ya ya kupata fursa ya habari. Kila la kheri kaka katika safari hii.
    Erick Mapunda

    ReplyDelete