Pages

Monday, June 24, 2013

WAFANYAKAZI WA PRESS NCHINI WAKUTANA BAGAMOYO, WAJADILI WELEDI WA UTUMISHI

Mkurugenzi wa Elimu ya Watu wazima Bw. Salum Mnjagila akifungua warsha na mafunzo kwa watumishi wa Press 'A' Dar es Salaam, Kituo cha Kisomo Mwanza na Vituo vya Uchapaji Rural Press  nchini katika Ukumbi wa ADEM mjini Bagamoyo leo.

Mkuu wa  KIwanda cha Uchapaji Press 'A' na Viwanda vya Uchapaji vya Kanda nchini, Bw. Maximillian Masesa  (aliyeshika kipza sauti)akito hotuba ya ukaribisho kwa watumishi na mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Elimu ya Watuwazima Bw. Salum Mnjagila (wapili aliyekaa) anayemfuatia ni Naibu Mkurugenzi kisomo Mwanza Mary Salu katika Mkutano wao Chuo cha Uongozi wa Elimu ADEM  Bagamoyo leo
 
 
 
 
Watumishi wakiiimba wimbo wa mshikamano wa wafanyakazi
 
 
 
 

 
Picha ya Pamoja ya washiriki wa mafunzo na Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Elimu ya Watu Wazima Bw Salum Mnjagila aliyekaa katikati nje y Ukumbi wa Assembly Hall Bagamoyo
Waliokaa toka Kushoto ni Max Masesa, Mkuu wa Chuo ADEM Naibu Mkurugenzi  Kisomo Mwanza, Mary Salu.
 

 
 

No comments:

Post a Comment