Pages

Tuesday, June 4, 2013

MASUPER STAR, WASANII, MASHABIKI NA WAPENZI WALIA MAPOKEZI YA MWILI WA MANGWEA, JIONEE PICHA


 

Gari maalum la Kubeba Mwili Msanii wa Muziki wa Kizaki Kipya,Marehemu Albert Mangwea likiwa tayari tayari kwa kubeba mwili.
Wadau mbali mbali wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege Julius Nyerere kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Albert Mangwea uliowasili mchana huu kutokea nchini Afrika ya Kusini.



 Gari iliyobeba mwili wa Albert Mangwea ikisukumwa na washabiki,wapenzi ndugu jamaa na marafiki mara baada kuanza kuondoka eneo la Eapoti hivi punde wakielekea Muhimbili kwa taratibu nyingine,Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi--Amen

Wadau kibao wapo uwanja hapa hivi sasa tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Mangwea.
Rafiki kipenzi wa Marehemu Albert Mangwea,Jay Mo akihojiwa na vyombo vya hapari uwanjani hapa.
Prof. Jay nae alipata wasaha wa kuongea na vyombo vya habari juu ya Msanii mwenzao Albert Mangwea alietangulia Mbele ya haki.


Wadau.
Watu kutoka kila pembe ya jiji la Dar wakiwa uwanjani hapa kuupokea mwili wa Msanii wao.
Wanahabari wakitafakari jambo.
Wakiwa wamejipanga tayari kwa kuubeba mwili wa Marehemu Mangwea.
Mkurugenzi wa Zizzou Fashion,Othman Tippo (kushoto) akizungumza na mmoja wa wadau waliofika uwanjani hapo.
Wasanii mbali mbali waliofika uwanjani hapo.
Madee akimzungumzia Marehemu Mangwea.
 Mamia ya wakazi wa Dar es Salaam wakiwemo wasanii wa muziki na filamu nchini leo wamejitokeza kuupokea mwili wa marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa ndege wa Mwl Julius Nyerere uliowasili kutoka nchini Afrika Kusini. DSC00241 DSC00243
Wasanii Dollo na KR Mulla Bongo5 imeshuhudia umati mkubwa wa mashabiki wa Mangwea aliyefariki wiki iliyopita nchini humo uliokuwa na hamu kubwa ya kushuhudia jeneza lililokuwa na mwili wake. Baadhi ya vijana waliokuwa wakiiimba kwa sauti waliizingira gari iliyokuwa na mwili na kutaka walibebe jeneza kwa mkono na hivyo kuufanya msafara uliokuwa ukielekea kwenye hospitali ya Muhimbili usimame kwa muda bila kusogea. DSC00246 Umati wa watu ukisubiri kuona gari lililobeba mwili wa Mangwea DSC00247 DSC00248 DSC00249 DSC00250 DSC00251 DSC00255  
Vijana wakiimba nyimbo za kuomboleza DSC00256 Vijana hao ambao wengine walionekana wakilia kwa uchungu wamesikika wakiimba ‘Tumshushe, Tumbebe’. Hali hiyo imepelekea kuzuka kwa vurugu iliyowapa wakati mgumu polisi waliosambazwa kuangalia hali ya usalama. Wasanii mbalimbali wameonekana wakipokezana kubeba msalaba kuliongoza gari lililobeba mwili baada ya wananchi kuwataka washuke kwenye magari. Mtangazaji wa Times FM, JABIR SALEH Ametweet: P funk ameamua kukimbia na kutembea na wana ili folen iende!!!much lov kwa p anakimbia hadi anatia huruma!” DSC00258 DSC00259 DSC00260 DSC00261 DSC00262 DSC00263 IMG_1498 IMG_1499  
Umati mkubwa kwenye uwanja wa ndege IMG_1501 IMG_1502
Mkoloni na Profesa Ludigo
IMG_1503
Fid Q alikuwa mmoja ya wasanii waliojitokeza
IMG_1504
Hafsa Kazinja na Quick Rocka wakiwa na simanzi
IMG_1505
Chege
IMG_1506 IMG_1507
Abdul Kiba, Hafsa Kazinja na Sauda Mwilima
IMG_1508
Izzo B akiwe mwenye majonzi makubwa
IMG_1509
Mrisho Mpoto
IMG_1510
Young Killa
IMG_1511
Mwili wa Mangwea ukiwa umebebwa
IMG_1530
Shabiki wa Mangwea akilia kwa uchungu
IMG_1531 IMG_1533
Ni majonzi tu

VIA/www.folclassic.com
 

No comments:

Post a Comment