Pages

Monday, June 3, 2013

LOWASSA APELEKESHA HARAMBEE WILAYA MPYA NYASA - MKOA WA RUVUMA KUFIKIA SH. MILIONI 305.4



Waziriri Mkuu Mstahafu Mh. Edward Lowassa , akimshuhudia Mke wa Waziri wa Mambo ya Nnje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, Mama Membe wakati akichangia pesa taslimu Tsh.1Millioni wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya Wilaya Mpya ya Nyasa Mkoani Ruvuma iliyofanyika jana usiku jijini Dar es Salaam, ambapo zaidi ya Tsh.305.4Millioni zilichangwa pesa taslim pamoja na ahadi.


Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward L owassa, akipeana mkono na Prof. Mbele akimhamasisha kuchangia pesa wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya Wilaya Mpya ya Nyasa Mkoani Ruvuma iliyofanyika jana usiku jijini Dar es Salaam, ambapo zaidi ya Tsh.305.4Millioni zilichangwa pesa taslim pamoja na ahadi.
Akipeana mkono na Mbunge wa Kibaha Koka Silivestry wakati wa harambee hiyo (aliyekaa katikati) ni Mbunge wa Mbinga Magharibi ambaye anatoka Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma na mwenyeji wa harambee hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akimkabidhi mchangowake Mratibu wa harambee ya maendeleo ya Wilaya ya Nyasa iliyopo kwenye Mkoa wa Ruvuma ambapo yeye na marafikizake walichangia kiasi cha Tsh.65Millioni kwenye harambee iliyokusanyaTsh. 305.4Millioni iliyofanyika jana usiku jijini Dar es Salaam

2 comments:

  1. Nijambo jema sana amelifanya ndg waziri mstaafu kwn wilaya mpya huwa ina change moto nyingi sana.

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa, wananchi wajitahidi kutenda kazi zao za uzalishaji. serikali ijitahidi kuweka miundombinu ya nishati, maji, mawasiliano na uchukuzi wilaya itakimbia kama enzi za filbert Bayi. Fukwe za Nyasa, uoto wa asili na mandhari yake ni ya mvuto kwa utalii wa ndani na nje

    ReplyDelete