Pages

Wednesday, June 12, 2013

HAYA HAYA TENA USAFIRI WA MBINGA -DAR- MBINGA HUU HAPA,

KUKAMILIKA KWA BARABARA KIWANGO CHA LAMI SONGEA HADI MBINGA FEO WAJIKITA KIBIASHARA:
HAPA ni Kituo cha Mabus Mbinga: Angalia Mabus ya  Superfeo Express ya Songea, yakiwa yamejipanga kabla ya uzinduzi tayari kwa safari za kutoka Mbinga - Dar -Mbinga.




Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga,  Bw.Idd Mponda akikata utepe jana kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za Mbinga -Dar -Mbinga kuanzia leo Juni 12, 2013.


Mkurugenzi wa Superfeo Express , Bw. Omary Msigwa (wa tatu kushoto)  washiriki wa hafla hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma, Bw. Oddo Mwisho, (wa kwanza  kushoto) wakishangilia tukio hilo la kihistoria jana wilaya ya Mbinga na mkoani Ruvuma kwa ujumla.
(Picha kw Hisani ya Muhidin Amri, Maelezo Juma Nyumayo) 


Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga, Bw. Idd Mponda akishauriana jambo na Bw. Omari Msigwa mara baada ya Uzinduzi jana.

No comments:

Post a Comment