Pages

Sunday, June 2, 2013

DKT. NCHIMBI ASISITIZA UCHOCHEZI HAUNA NAFASI, WANANCHI WACHAPE KAZI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na  Mbunge wa Jimbo la Songea, Mjini Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwahutubia wanachama viongozi wa CCM wa Jimbo lake wakati wa mkutano wa Kusoma Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2010 katika Uwanja wa Majimaji Manispaa ya Songea  leo (2.6.2013) Mkutano ambao ulifana sana na aliufunga yeye mwenyewe.(Picha na Juma Nyumayo) 



Sehemu ya wanachama viongozi wa CCM wilaya ya Songea Mjini wakiwa jukwaa kuu wakisikiliza hotuba toka Mbunge  wao Dkt. Nchimbi leo.

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdurahman  Kinana akitoka Ofisi Kuu ya CCM Mkoa baada ya kuzungumza na viongozi wa Mkoa wa Ruvuma na kuelekea Uwanja wa Majimaji.



No comments:

Post a Comment