Pages

Thursday, June 6, 2013

BREAKING NEWSSSS! MSIBA MWINGINE MUME WA GWIJI LA TAARABU KHADIJA OMARI KOPA AFARIKI

 MUME WA KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA, HABARI ZA AWALI KUZIKWA BAGAMOYO KESHO SAA 10.00 ALASIRI 
 


Khadija Omar Kopa akiwa na mumewe Jaffari Ally enzi za uhai wake.

Mume wa Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki, Khadija Omar Kopa, aitwaye Jaffari Ally amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.    


Marehemu alikuwa anasumbuliwa na matatizo katika mfumo wa upumuaji na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Bagamoyo.


Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 AMEN
 
VIA/demasho blog

No comments:

Post a Comment