Pages

Saturday, June 1, 2013

AIBU YA WANAFUNZI WA UDOM WALIOJIREKODI PICHA YA NGONO, YAVUJA HII HAPA

MAELEZO TOKA MMILIKI WA BLOGU: Nimeiweka hii kwa masikitiko makubwa. Tukizingatia wazazi, wadau, wafadhili na serikali inategemea vijana wasomi. wao wanapoteza muda. Wachache lakini wameumbuka angalia.

Wajirekodi Na Kusambaza[Picha]
Baadhi ya wanafunzi  wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma  wameoza kwa matukio machafu ya ngono..

Uchunguzi wetu umebaini kuwa siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu na hatarishi vya ngono.


Katika uchunguzi wa muda mrefu,matukio mbalimbali machafu yaliyopitiliza ya vitendo vya ngono  ambapo picha  na video ya ngono   ya  wanafunzi  wanaosoma chuo  kimoja  mjini Dodoma   imenaswa laivu....
Tarehe 20  mwezi huu wa tano, Tulipokea simu kutoka  kwa mdau mmoja  ambaye  aliipasha  juu ya kuwepo kwa mkanda wa ngono  chuoni hapo ambao umerekodiwa  na wanafunzi wa chuo hicho....
 
Hapa walikuwa wakitazama camera ambayo waliitegesha wenyewe

Baada ya tarifa hiyo, mtandao huu ulimteua mchunguzi  mmoja  ambaye alikabidhiwa majukumu ya kuujua ukweli ikiwa ni pamoja na kuipata video  hiyo kwa gharama yoyote kama ushahidi....

Mchunguzi huyo alifanya kama alivyoelekezwa.Tarehe 22 may alifanikiwa kuonana  na mnyetishaji huyo  ambaye alimpa mkanda mzima  wa tukio hilo..
Mazungumzo yao:

MWANDISHI: Vipi kamanda, pole na kitabu!
 
Mnyetishaji: Asante kaka, poleni na kazi
 
MWANDISHI: Asante sana, suala langu ni moja tu...ambalo ni kuipata hiyo video , maelezo mengine baadae.
Mnyetishaji: (anacheka): Kaka  dunia imeoza...chuo kimegeuzwa kambi ya ngono.Watu wanabebana kama kuku, mbaya zaidi wanajirekodi  live mithiri ya wacheza xxxxxxx..
MWANDISHI: Kwanza ilikuwaje wakajirekodi?
Mnyetishaji: Unajua sisi wanafunzi   tuna ile hali ya kusifiana mbele ya wenzetu.Kwa hiyo siku ukitoka na demu, ni lazima masela wajue kama ulipiga kazi kweli au ulizingua...
Inavyoonesha  ni kwamba huyu jamaa alitaka kuwathibitishia washikaji zake kwamba alimtungua huyu dem, na ndo maana akamrekodi.


MWANDISHI: ( kicheko kikali) Dah! Wanafunzi mnambo sana aisee...!!Kumbe na wewe ni mdau.Ilikuwaje video hii ikasambaa? wakishajirekodi   hubaki kwa mwenyenayo au husambazwa kwa washikaji?
Mnyetishaji: Kaka  mimi siyo mdau na  ndo maana  nikawapa huu mchongo  ili msaidie  kulikemea hili.Wakishajirekodi, video hubaki kwa mwenye nayo tu.Ukitaka kuona  ni lazima uende kwa mwenyenayo.


Hii imevuja kwa sababu jamaa alijiamini na kuwapa washikaji zake wa karibu ambapo tangu siku hiyo video ilianza kusambaa kwa kasi.
MWANDISHI: Turudi kwenye point kaka...Ntaipataje  hiyo video  ili na mimi niamini???  


Mnyetishaji: Video ninayo, ila ni lazima unitoe kidogo, nimechacha  mwanao..!!


MWANDISHI: Aaah!  kaka  umeanza  uswahili  tena?  haya usijali, ntakutoa Dinner.


Mnyetishaji: Asante kaka, ila msinitaje.


Mwandishi: Usijali kamanda, na ndo maana sijataka  hata kuuliza mengi kuhusu wewe.Kazi yangu ilikuwa ni kuupata mkanda basi.
Hatimaye mwandishi wetu alifanikwa kuipata video hiyo  ya aibu.Ni ngumu sana kuamini kama wabongo tumefikia hatua hii  ya laana.


Kwa muda mrefu tumekuwa tukiripoti juu ya matukio machafu yanayotendwa na madenti kwa kuweka picha tu....Baadhi ya watu wamekuwa wakipinga na kudai kuwa  hizo  si za tanzania....
Awamu hii tutaishusha  video  hiyo  kama  ilivyo  ili  jamii  ijionee.Ni video ndefu ( saa nzima).Tumeivunja katika vipande 6. kaa tayari video inafuata

2 comments:

  1. its good to let the community get well informed on what is going on through your blog, but remember, to make such publication its better to assure yourself that what you are publishing is nothing but truth to avoid misleading the public. Am a UDOM student, we are also aware of the incident but the same didn't happen at UDOM though its from among dodoma Universities. Mr Juma this is nothing but defamation, you have defamed us Udom students, try to make a good research to ascertain the truth. SIKU NYINGINE FANYA UTAFITI WA KUTOSHA KABLE. Am Frugence Fatius LL.B student at Udom

    ReplyDelete