Pages

Tuesday, May 7, 2013

VIONGOZI WA DINI MIKOA YA RUVUMA, NJOMBE NA IRINGA WANOLEWA NA PCCB KUPINGA RUSHWA,


Mkuu wa TAKUKURU, mkoa wa Ruvuma Daudi Masiko Mwenyeji wa Mafunzo hayo yanayoendelea Herittage Cottage, Songea Ruvuma


Bango la kupambana na Rushwa nje ya Ukumbi wa Mafunzo Herritage Cottage ambapo Mkurugenzi wa TAKUKURU Tanzania atatoa mada za kupinga na kudhibiti Rushwa kwa viongozi wa Dini.


Meza ya sekretrieti wakati wa Uasajili wakiwa kazini


Mwandishi wa habari Muhidin amri akimpongeza Afisa  Mchunguzi wa PCCB, Ruvuma Bertha Madili nje ya Ukumbi wa Herittage Cottage Songea kabla ya Mafunzo ya Viongozi hao kuanza.


No comments:

Post a Comment