Pages

Thursday, May 2, 2013

MKUTANO WA MITANDAO YA ASASI WILAYANI HAPA NCHINI WAFIKIA TAMATI HAPA BLUE PEARL DAR


NDG. NEEMA YOBU, AFISA WA THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY DAR ES SALAAM AKITOA UFAFANUZI KWA WASHIRIKI WA MKUTANO WA VIONGOZI WA ASASI KUHUSU MIONGOZO YA KUANDAA MABARAZA YA KATIBA HUKO WILAYANI.


VIONGOZI WAKIFUATILIA MAELEKEZO ILI WAKAYAFANYIE KAZI WILAYANI WATOKAKO PAMOJA NA PICHA ZINAZOENDELEA HAPO CHINI.




WAKALIMANI WA LUGHA YA ALAMA WAKIWA KAZINI KWA KUTUMIA LUGHA YA ALAMA KWA WATU WENYE ULEMAVU VIZIWI WANAOHUDHURIA MKUTANO HUU.


No comments:

Post a Comment