Pages

Thursday, May 16, 2013

MHASHAM BABA ASKOFU NORBERT MTEGA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI MCHANA HUU SONGEA



Baba Askofu  Norbert W. Mtega


 
Na Juma Nyumayo, Songea
KUTOKANA na Baba Mtakatifu Francis, kukubali ombi la Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea, Norbert Mtega (67), (pichani) kustaafu katika utume wa kuongoza Jimbo Kuu la Songea lenye jumla ya majimbo nane, leo mchana anakutana na waandishi wa habari mkoani Ruvuma  katika Ofisi zake za Jimbo Kuu zilizopo Katika Kanisa la Mt. Mathias Kalemba Mulumba mjini Songea kuzungumza nao kuhusu kustaafu kwake.
Waandishi hao wana kiu kubwa ya kutaka kujua kulikoni,
Blogu ya  www.ruvumapress.blogspot.com  "Jamii ya Wana Ruvuma" itawajuza kinachoendelea kwa undani mara baada ya Mkutano huo wa Kihistoria katika kazi za kitume hapa mkoani Ruvuma na Taifa kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment