Pages

Wednesday, May 8, 2013

MAFUNZO YA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA KLABU ZA WANAFUNZI WA SEKONDARI RUVUMA YANAENDELEA

Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Londoni,  Mwalimu Christopher Mwageni,(aliyesimama) akimwelezea Mwenyekiti wa marafiki wa Elimu Songea  Bw. Juma Nyumayo ambaye pia mmiliki wa Blogu hii umuhimu wa mafunzo ya kupamba na rushwa kwa wanafunzi yanayoendeshwa na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dkt. Edward Hosea mkoani Ruvuma leo.




Baadhi ya wanafunzi wa sekondari wanaoshiriki mafunzo ya kupambana na rushwa wakati wakisikiliza mada ya Dkt. Hosea (hayupo pichani) katika mada yake ya Utawala bora kwa Klabu za wapinga rushwa mjini Songea leo.



Baadhi ya wakuu wa Shule za sekondari mkoani Ruvuma ambao wanashiriki mafunzo ya kupambana na Rushwa pamoja na wanafunzi wao  



No comments:

Post a Comment