Pages

Wednesday, May 29, 2013

MAADHIMISHO YA 17 YA WIKI YA MAZIWA SONGEA-RUVUMA


Mlango wa kuingilia Mabanda ya maonyesho ya Unywaji wa maziwa, Viwanja vya Manispaa Songea



Afisa toka Ofisi ya mkuu wa Mkoa, Bw Mbewa akiangalia bidhaa za maziwa banda la Kalali women diary coop. Society Ltd toka Kilimanjaro, anayeonyesha ni Katibu wa kikundi, Aisa Lema (picha na Juma Nyumayo)



Wananchi wakiwa wamezunguka na kununua bidhaa za maziwa toka kampuni ya ASAS ya Iringa ambao bidhaa zao zimekuwa kivutio mjini Songea.


Mwonyeshaji wa banda la ASAS Onesmo Kibra akiwaelekeza watu wanaotaka kununua maziwa toka kampuni hiyo


Baadhi ya Bidhaa za maziwa zinazotengenezwa na kampuni ya ASAS na kuoneshwa katika Wiki ya Maziwa hapa Songea


No comments:

Post a Comment