Pages

Monday, May 27, 2013

KATIBU MKUU WA CCM KINANA ATUA KIKAZI IRINGA



Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akitokea kwenye ndege aliyosafiria mara alipotua Uwanja wa Ndege Nduli Iringa. wanaowahi Kumpokea wa mbele Mwenyekiti CCM Mkoa wa Iringa,  Jesca Msambatavangu  na anayefuatia kwa nyuma ni Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Emmanuel Mteming'ombe.

Mwenyekiti wa CCM mkoa  wa Iringa,  Jesca Msambatavangu, akimpokea  Katibu mkuu  wa Chama   cha Mapinduzi (CCM) Bw Kinana  leo kushoto anayeshuhudia ni Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Emmanuel Mteming'ombe hii ilikuwa ni ghafla  sana kwa viongozi hawa


Katibu Mkuu  Bw. Kinana akisalimiana na viongozi na makada  wa CCM Iringa


Katibu Mkuu  wa CCM Taifa,  Bw. Abdurehman Kinana  akisalimiana na kada wa CCM  kutoka  chuo cha Tumaini Iringa Mwanahabari Saimon Belege


 Makada  kutoka  Tumaini Iringa
 Katibu Mkuu CCM Taifa, Bw. Kinana akiteta  jambo na  Mhe. Diwani wa Kata ya Nduli, Bw. Chonanga  leo
 Katibu  wa CCM mkoa wa IringaEmmanuel Mteming'ombe (Kushoto) na Mwenyekiti  wake wakimwongoza Bw. Kinana kwenda  chumba cha wageni mashuhuri (V.I.P Room)
 Hapa  ni nje ya Ofisi  za CCM mkoa akivishwa skafu baada ya  kushindwa kuvishwa uwanja  wa Ndege Nduli kutokana na kufika dakika 20 kabla ya muda  uliopangwa  kuwasili 


 Kamanda  wa UV CCM mkoa  wa Iringa,  Salima Abri Asas,  akisalimiana na katibu mkuu  wa CCM Taifa  Bw Kinana baada ya  kuwasili  makao makuu ya CCM mkoa  wa Iringa asubuhi ya leo,kinana  na Nape  wanaelekea  ziara  ya kichama mkoa  wa Njombe
 Bw  Asas  akipongezana na  Kinana  leo


via: francisgodwin

No comments:

Post a Comment