Pages

Thursday, May 16, 2013

WAANDISHI WA HABARI RUVUMA WALIPOKUTANA NA BABA ASKOFU MSTAAFU MTEGA


Mwandishi wa Blogu hii Juma Nyumayo (Kushoto)  na Mhariri wa  gazeti la Tujifunze, Christiana Sikapundwa nje ya kanisa la Mt. Mathias Mulumba Kalemba la Jimbo Kuu Songea wakijiandaa





Baba Askofu Mstaafu Norbert Mtega, akijibu maswali ya waandishi wa habari mkoani Ruvuma leo.



Waandishi wa Habari wakiwa nje ya kanisa la Mt. Mathias Mlumba Kalemba, la Jimbo Kuu la Songea kabla ya Mkutano na Askofu Mstaafu, Norbert Wenderline Mtega.  Gerson Msigwa (wa pili kulia) akiweka Sawa Kamera yake huku waandishiu wengine waqkifanya mawasiliano na matayarisho mwengine kwa Mkutano huo Muhimu wa Kihistoria katika Jimbo na Taifa kwa Ujumla, (Picha na Maelezo na Juma Nyumayo)



Picha ya pamoja na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza mkutano na waandishi hao.


Mwandishi wa Habari mwakilishi wa Habarileo mkoani Ruvuma, Muhidin Amri, akiperuzi katika Laptop kabla ya Mkutano na Askofu Mstaafu Mtega. huku Mhariri wa Tujifunze Christiana Sikapundwa akiangalia mazingira ya kanisa hilo leo.


No comments:

Post a Comment